» » » Hii Hapa Q & A kutoka kwa AY @AyTanzania


Bongo61: Je una-enjoy umaarufu wako? if yes, how ? if no,why ?
AY : Yes , na-enjoy coz naona vile kazi zangu nazofanya usiku na mchana zinapokelewa vizuri na pia zinawakilisha nchi vizuri na pia natumia opportunity hiyo kuweza kujiendeleza zaidi.
Bongo61: Name one actress you would like to get naughty with?
AY : Gabrielle Union
Bongo61 : Ulishawahi kutumia drugs?
AY: Hapana aisee
Bongo61 : Love or Money ?
AY : Money EERDAY
Bongo61: Unajiweka wapi , Artist or Businessman?
AY : Both
Bongo61 : By da way, demu wako ni nani ?
AY : Dida Malia
Bongo61 : One thing hauwezi kuishi bila kufanya ?
AY : Kumkumbuka my late mom
Bongo61 : Ukipewa nafasi kushiriki Big Brother utakubali ?
AY : Hapana aisee
Bongo61 : Women or Cars ? why ?
AY : Cars coz yanasupport shughuli zangu nyingi.
Bongo61 : Who is the best producer according to you?
AY : Dr. Dre siku zote
Bongo61 : Kama nikija nyumbani kwako nikafungua friji kitu gani ambacho siwezi kukikosa?
AY : ( nakupa task kujua hilo jina lina maana gani , hahahaha)

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply