Unknown
Sunday, May 25, 2014
ANaitwa DonLee a.k.a Sukuma Boy (Young Rappers Captain).Ni Msanii wa Hiphop anayewakilisha RapCity
Hii ndiongoma yake ya kwanza kwenye Gem Ikiwa imefanywa na Monna Gangster wa Classic sound.wimbo unaitwa FROM MWANZA mixer ya rap na crank. usiklize na kuudownload hapa
No comments: