Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake Martin Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema.
Mtangazaji Tonny Albert (tbway360)
Mtangazaji Tonny Albert (tbway360)
Wema Sepetu akimkiss Tonny Albert (tbway360)
No comments: