Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » Picha: Beyonce ashare picha mpya za familia, Blue Ivy na Jay Z

Wakati Kanye West na Kim Kardashian wakifurahia fungate lao, The Carters wameendelea kuwa karibu zaidi baada ya familia yao kukumbwa na migogoro. Kupitia website yake, Beyonce ameshare picha za familia yake, zikiwemo za mwanae Blue na mumewe Jay Z. Zitazame.

Beyonce


 Bey na mwanae, Blue


Bey na mwanae, Blue


 Blue Ivy
Jay Z na kipikipiki chake


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Music: Stosh ft Ibra - Punch za Moto
»
Previous
Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson na picha za saa 4 kabla ya tukio Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye http://djchokamusic.com/ kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma.Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza.Source:DjChoka

No comments:

Leave a Reply