» » » Picha: Diamond Platnumz akiperform MTV BASE road to MAMA, Maisha Club

Tazama picha za Diamond Platnumz akiperform Maisha club kwenye MTV Base road to MAMA, Dimond Platnumz anashow yingine London leo.

Show ya Road to MAMA, iliyoandaliwa na kituo cha runinga cha MTV Base kama sehemu ya kusherehekea tuzo za MTV Africa mwaka huu na kufanyika kwenye ukumbi wa Bilicanas, imefana. Miongoni mwa wasanii wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Sauti Sol,Mi Casa Music na Diamond Platnumz. 




Tazama picha zaidi hapa chini..
















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply