Yule Muigizaji na muongozaji wa filamu, Adam Philip Kuambiana amezikwa Jumanne hii katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Wadau wa filamu, wasanii wa muziki na wananchi mbalimbali walihudhuria mazishi hayo katika kuikamilisha safari ya mwisho ya Adam Phlip Kuambiana.Tazama picha za mazishi.
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: