Wazungu wanasema real recognize real. Mkenya Corazon Kwamboka anayesifika kwa umbo lake matata, amemsifia mwenzake wa Tanzania mwenye sifa kama zake.
Corazon Kwamboka
Akiweka picha ya Masogange Instagram, Corazon ameandika: This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits @misgerald #kisses. She my WCW for real.
Akiweka picha ya Masogange Instagram, Corazon ameandika: This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits @misgerald #kisses. She my WCW for real.
Masogange
Naye Masogange kupitia Instagram ameweka picha ya mrembo huyo na kuandika: I’m in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii @lilythegenie.
No comments: