Muigizaji na CEO wa Endless Fame wema Sepetu amekunusha ule uvumi ulioenea kupitia Blogu na tovuti mbalimbali juu ya yeye kuwa mjamzito, kupitia ukurasa wake wa Instgram kipenzi huyo cha Diamond Platnumz alikanusha uvumi ulionea kuwa anaujauzito wa Diamond na kuandika haya " Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant.... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi wangu... ๐๐๐๐๐"
Katika ujumbe huo wa wema sepetu anasema angetamani kuwa mjamzito lakini sio mjamzito na hizo habari za yeye kuwa na ujauzito ajui watu wamezitoa wapi
Soma hapa alichokiandika mwanadada Wema Sepetu...
Katika ujumbe huo wa wema sepetu anasema angetamani kuwa mjamzito lakini sio mjamzito na hizo habari za yeye kuwa na ujauzito ajui watu wamezitoa wapi
Soma hapa alichokiandika mwanadada Wema Sepetu...
No comments: