Music: Makomando – Linah Unknown Wednesday, June 11, 2014 0 No comments Kundi la Makomando ambalo lina fanya vizuri kwa sasa wakali hawa wa kushambulia Jukwaa wameachia ngoma Mpya ambayo wamemuimbia Mwanadada “Linah” ngoma hii imetaarishwa na Producer Ema The Boy Share !
No comments: