» » » Picha: Hawa ndio wazazi wa Bob Junior

Katika pitapita yangu nimekutana na picha hii nzuri aliyoshare Bob Junior katika akaunti yake ya Instagram ikiamabatana na caption ya 'Family Day, WITH MY FAMILY' nikona sio vibaya tukishare wote hii picha ukapata kuwafahamu wazazi wa Bob Junior ingawa Baba yake Bob Junior ni mwanamuziki aishie Nchini Finland.


Tazama picha hapa


Bob Junior akiwa na Familia yake

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Wema sepetu na huyu rafiki yake mpya wamsindikiza Diamond Platnumz kwenye tuzo za Mtv MAMA, South Afrika
»
Previous
Davido alichowai kufanyiwa na Baba yake Mzazi atoweza kukisahau

No comments:

Leave a Reply