Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » DADA HUYU ANAOMBA USHAURI, MIAKA SITA YA MAHUSIANO NA SIONI DALILI YA NDOA...NIFANYEJE PLZ ?

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa. Naombeni ushauri jamani .


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hii ni laana sasa Mchungaji huyu ajichora Tatoo kwenye Matiti na kupiga picha zisizo na maadili
»
Previous
HII NDIO DAWA YA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....

No comments:

Leave a Reply