» » » Duh! Kiatu hiki ni zaidi ya Bei ya gari Bongo, akivaa Klyn peke yake

Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM…tumekutana na hiki kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN…..



Tunaamua ku-google bei yake….Duh kucheki bei yake tukachoka menyewe….ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)….Hehehe, sio ishu yote maisha…ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa…Kumbuka hiki ni kiatu tu, bado gauni, pochi…nywele….nk…Dah huyu si anatembe na milioni 10 kabisa…. Jionee mwenyewe hapa Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply