Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipofika mkoani Arusha jana Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao nduguzao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha maporomoko hayo yametokea juzi nakusababisha vifo vya watu kumi na tatu na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti meru
Home
»
News
»
Social
» MH WAZIRI MKUU AWAFARIJI WAFIWA WA AJALI YA MAPOROMOKO YA MACHIMBO YA MORAMU MKOANI ARUSHA
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: