Uganda yawekewa vikwazo na Marekani baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

Unknown Friday, June 20, 2014 0

Baada ya Uganda kupitisha sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja mwezi Ferbruari mwaka huu, serikali ya Marekani imeiwekea vikwazo nchi hi...

Wakenya waanzisha kampeni kushinikiza wanajeshi wao kutoka Somalia #BringBackOurSoldiers

Unknown Thursday, June 19, 2014 0

Mashambulizi mawili ya Mpeketoni yalisababisha vifo vya watu 60 na kuacha vuta n’kuvute nchini Kenya baada ya Al Shabab kudai kuhusika moja ...

Migogoro ya ardhi kushughulikiwa na mahakama

Unknown Wednesday, June 18, 2014 0

Tume ya kurekebisha sheria nchini Tanzania, imekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria iliyounda mabaraza ya ardhi ya wilaya...

Walioshambulia Kenya si Al Shabaab, 'Uhuru Kenyatta'

Unknown Tuesday, June 17, 2014 0

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji w...

Homa ya dengue yaanza kupungua

Unknown 0

Serikali ya Tanzania imesema ugonjwa wa dengue umeonekana kuanza kupungua katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kutokana na wananchi kuch...

Alshabab waua watu 10 kenya, ni baada ya kushambulia tena

Unknown 0

Siku moja baada ya eneo la Mpeketu karibu na Lamu kushambuliwa na wanamgambo wa Al Shabab na kuua watu takribani 50, kundi hilo limefanya sh...

Vyuo vitoe kozi zinazokidhi soko la ajira

Unknown Saturday, June 14, 2014 0

Vyuo vya Elimu ya Juu nchini vimetakiwa kubuni mitaala itakayowezesha kuwandaa vijana kuwa na utaalamu unaohitajika katika soko la ajira, ku...

Video: Mtazame Maalim Hassan Hussein Yahya akizungumzia juu ya vifo vya wasanii, kuendelea mpaka april 2015

Unknown Sunday, June 8, 2014 0

Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Onlin...

Dawa za kichina Nomaa, zaleta balaa soma hapa

Unknown Saturday, June 7, 2014 0

Kwa Mnao Kuza Makalio Kwa Dawa za Kichina na Kienyeji hii Inawahusu . Kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio ziwe za Kichina ama...

Alichosema Mhe. Komba baada ya picha kusambaa akiwa na binti chumbani.

Unknown Friday, June 6, 2014 0

Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein Komba akiwa amepiga picha na msichana chu...

Je , hili alilolifanya Obama, Kikwete anaweza kudhubutu?

Unknown Monday, May 26, 2014 0

Hivi karibuni Raisi mwenye guvu zaidi duniani na maadui wengi kuliko maraisi wote Barack Obama  aliamua kutembea mtaani kama raia wa kawaida...

Hii ndio Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania

Unknown Saturday, May 24, 2014 0

Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya...

Rais Joyce Banda aufuta uchaguzi wa Malawi, utafanyika tena ndani ya siku 90!

Unknown 0

Rais wa Malawi, Joyce Banda amesema anaufuta uchaguzi mkuu uliofanyika wiki hii nchini humo ambao naye alikuwa anagombea kwa kile alichokise...

Mama maria Nyerere atoa tahadhari ya Vita

Unknown Friday, May 16, 2014 0

Mke wa hayati mwalimu Julias Nyerere, mama Maria Nyerere amewaasa vijana nchini kutojiingiza katika malumbano yasiyokuwa na tija kiasi cha k...

EAC kuimarisha vita dhidi ya ugaidi

Unknown Wednesday, April 30, 2014 0

Jumuiya ya Afrika Mashari imesema itahakikisha inapambana na vita dhidi ya ugaidi katika nchi wananchama wa jumuiya hiyo. Mwenyekiti wa Jumu...

Kuwatukana waasisi wa Tanzania Ni ukosefu wa adabu 'Kikwete'

Unknown Thursday, April 17, 2014 0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kwa baadhi ya...

Abiria Walionusurika Katika Ajali Ya Meli Ya Korea Kusini Wasimulia Ajali Ilivyotokea

Unknown Wednesday, April 16, 2014 0

Watu walionusurika wamekuwa wakielezea hali ilivyokuwa ya kutisha ndani ya meli ya Korea Kusini ilipoanza kusimama kwa kuyumba, akiegemea up...

Miji 14 duniani yenye foleni kubwa zaidi za magari Dunaini

Unknown Tuesday, April 15, 2014 0

Kwa wakazi waishio  jiji la Dar es Salaam, katika siku hizi mbili  mpaka tatu watakuwa wanashuhudia foleni ya kufa mtu iliyosababishwa na mv...

Video: Ujumbe wa Rais Obama kwa Vijana wa Afrika

Unknown Monday, April 14, 2014 0

Rais wa marekani Barck Obama amezungumzia juu ya hatma ya afria na viongozi wake kwa ujumla pia ni vizuri kwa kjana mtanzania  kusikiliza an...

Rais huyu kutoka afrika atoa zawadi za iPhone za Gold katika harusi ya Binti yake

Unknown 0

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya ...