Katika hali isiyokuwa ya kawaida mastar wengi wabongo wamekuwa wakipiga picha nyingi ambazo zinakuwa kinyume na maadili yetu na mara nyingi wakiulizwa husema alipiga kwa matumizi binafsi kuna mtu kavujisha picha hizo lakini sasa wahenga walinena kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ni kosa kubwa kwanini ijirudie tena kwako wewe hebu tujikumbushe kidogo miaka ya nyuma sana Irene woya alivujisha picha hii akiwa katika pozi la utata ila na hii je
Home
»
Irene UWoya
»
Relationship and Sex
» IRENE UWOYA AWATEGA WANANUME NA KIVAZI HIKI CHA NUSU UCHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: