Habari kwa Ufupi :

» » » » POLE NYINGI ZIENDE KWA MSANII CYRIL KWA KUFIWA NA MAMA YAKE"MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMEN"



Masanja Mkandamizaji ni miongoni mwa wasanii wachache waliojitokeza, alishiriki kwenye shughuli mbalimbali kila alipoona anahitajika kufanya hivyo.


Nakumbuka wakati niko Radio One Cyrill kwenye interview na mimi aliniambia mwanzoni wakati anaanza muziki, alitumia pesa nyingi sana ndogondogo kutoka kwa mama yake kwa ajili ya kuingia studio kurekodi lakini mama yake alikua hajui hizo pesa zinatumika kufanya nini, baadae sana ndio akaambiwa ukweli.


.


.


.


.


.


.


.


.


.


.


.


.


.


Cyrill.


Marehemu mama mzazi akiwa na mwanae Cyrill, kwenye hii picha ya facebook Cyrill aliandika “Chilln wit ma business partner..mama kamikaze”

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
HIVI NDIVYO VIWANGO VIPYA VYA NAULI BONGO
»
Previous
CHRIS BROWN KAMUONGELEA WIZKID WA NIGERIA KWENYE 106&PARK YA BET, VIDEO NDIO HII

No comments:

Leave a Reply