Habari kwa Ufupi :

» » » » » » » FEZA KESSY, DEDY NA NISHER WAKO KATIKA LOCATION KUSHOOT VIDEO YA AMANI WA MOYO [PICHA]



Mrembo Feza Kessy aliyeingia kwenye muziki, wiki hii ameingia location kufanya video ya wimbo wake wa kwanza ‘Amani ya Moyo’.


Video hiyo inaongozwa na muongozaji na mtayarishaji wa video mwenye makazi yake jijini Arusha, Nisher.

Katika video hiyo, mkali wa dancehall nchini Deddy ataonekana kumpa shavu Feza.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
ICHEKI VIDEO INAYOONYESHA KALAPINA AKIMPIGA CHID BEENZ MAISHA CLUB!
»
Previous
WASANII WA BONGO FLAVOUR WANG'ARISHA TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA MBAGALA

No comments:

Leave a Reply