MAKOMANDOO ON STAGE |
Home
»
Back sTAGe PhotoS
»
live Shows Photos
»
Makomandoo
»
News
» HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA MAKOMANDOO BILCANAS [PICHA]
Wakali wakulishambulia jukwaa Bongo, Makomando jana walifanya bonge la show Club Billcanas wakati wakitambulisha video ya ya wimbo wao mpya, Ugonjwa wa Moyo.Makomando walisindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Queen Darleen na Asia.
Asia nae alikuwepo kuwapa Mtoto wa Mjini
K.Star nae alisababisha vya kutosha
Queen darleen nae alisababisha na Maneno maneo
Wacha weee
Abdu kiba alipagawisha warembo kwelikweli
Tunda Mana akiwapa Starehe galama
Makomando wakifanya yao hapo utawataka
We hapo palikuwa hapotoshi Nyamwela na Muki alikuwa akiwapa naye Ngoma yake Mpya
Nyamwela nae alikuwepo na Muki wakitawala jukwaa
Ndani ya Suti Makomando utawataka
Makomando katika Pozi
Wadanandana ndo walikuwa wakiongoza show
MMhhh!!Amini hapo akiwa na Dada zake wa THT
Watu Full Kupendeza
Lady Queen nae alipiga Showa safi sana
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: Back sTAGe PhotoS live Shows Photos Makomandoo News
Related Posts
Picha: Kili Music Ilivyozinduliwa Moshi
Kilimanjaro Music Tour 2014 ilizunduliwa mjini Moshi kwa show kali toka kwa wasanii waliofanya vizur...Read more »
25May2014Aunt Ezekiel aelezea tuhuma za kutoka kimapenzi na Dancer wa Diamond Plantumz
Mwigizaji wa filamu nchini Aunty ezekiel ameelezea tuhuma zilizozogaa siku kadhaa zilizopita kuwa ...Read more »
08Aug2014Wnafunzi hawa wakutwa wakifanya ngono kweupeeee...
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngon...Read more »
07Aug2014HII NDIO DAWA YA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofan...Read more »
07Aug2014Picha /Video:Hii ndio Ajali iliyotokea Makongo yaua watu 18
Ajali ajali! Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar ...Read more »
21Jun2014Walioshambulia Kenya si Al Shabaab, 'Uhuru Kenyatta'
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Ken...Read more »
17Jun2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: