Habari kwa Ufupi :

» » » » » SHAMIM NABIL AMABYE NI MISS KENYA AKANUSHA KUDATE NA MR NICE



Hivi karibuni mitandao ya nchini Kenya iliandika tetesi kuwa huenda Miss Kenya wa sasa, Shamim Nabil anadate na Mr. Nice aliyehamia nchini humo na kwamba walionekana na paparazzi wakila bata pamoja.


Kutokana na tetesi hizo, Shamim ameamua kuzungumza na kukanusha kuwa kamwe hawezi kuwa mpenzi wa Nice Mkenda.




Amesema amekuwa akimfahamu staa huyo tangu akiwa mdogo na Nice si mwanaume wa aina yake.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MCHEKI SUGU AIKIWA NA MAMA WATOTO WAKE WAKIENJOY UTALII WA NDANI [PICHA]
»
Previous
AUDIO YA NICK MBISHI AKIZUNGUMZA NA BONGO61 JUU YA TUKIO ZIMA LILIVYOTOKEA MAISHA CLUB

No comments:

Leave a Reply