Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » » ADAM MCHOMVU ALIVYOTUKANWA VIBAYA…




Adam Mchomvu alijikuta akimiminiwa matusi na followers wake wa facebook kwa kisa cha kupost picha za Jay Dee za utupu kwenye page yake.

Adam Mchomvu amekanusha kwamba yeye hausiki na hicho kitendo cha kupost hizo picha.

For info check comment hizi hapa chini kutoka kwenye page ya facebook ya Adam Mchovu

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
HIVI NDIVYO PREZZO ALIVYOMPOKEA HUDDAH KUTOKA KATIKA JUMBA LA BBA [PICHA]
»
Previous
BABA YAKE DIAMOND YUPO HOI ANAUMWA......DIAMOND HAJAWAHI KANYAGA KUMJULIA HALI

No comments:

Leave a Reply