» » » » ATIMAYE BEYONCE AKANUSHA RASMI TETESI ZINAZOSEMA YEYE NI MJAMZITO


Baada ya kuwepo tetesi kuwa mke wa Jay-Z Beyonce ana ujauzito wa mtoto wa pili na kukwepa kuthibitisha ama kukana uvumi huo kila alipokuwa akiulizwa, hatimaye taarifa rasmi kuhusiana na tetesi hizo zimetolewa na team ya Beyonce.
Jana (June 5) mtangazaji wa kipindi cha asubuhi “Today Morning” kupitia CBS aitwaye Gayle King ambaye pia ni rafiki wa familia ya Carter, amesema alizungumza na team ya Beyonce Jumanne (June 4) ambao wamethibitisha kuwa Queen Bey hana ujauzito kwa sasa na kusema “ni kweli yeye na Jay-Z wanahitaji sana kupata mtoto wa pili wakati muafaka utakapofika, na wakati ukifika watatoa taarifa”.
Mtazame Gayle alipokuwa anatoa taarifa hizo kupitia kipindi cha “Today Morning”


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
HAYA NDIYO,MAHANDALIZI YANAYOENDELEA PALE MLIMANI CITY DAR ES SALAAM KWA AJILI YA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS
»
Previous
MAGAZETINI LEO IJUMAA YA TAREHE 07/6/2013

No comments:

Leave a Reply