Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » » Breaking News : Langa kuzikwa Jumatatu kwenye makaburi ya Kinondoni





Mazishi ya rapper Langa Totty M Kileo yanatarajiwa kufanyika Jumatatu ijayo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya Kinondoni na kisha kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo, Meningitis.
Langa Kileo alizaliwa December 23, 1985. Mungu ailaze mahali pepa roho ya marehemu.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
1 day to go! to Beach Party @ Belinda Annex Beach Resort
»
Previous
Muigizaaji wa Nigeria Mery Jonson, Aliwahi Kuigiza Movie na Hayati Steven Kanumba! Ana ujauzito

No comments:

Leave a Reply