Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » » Langa Afariki Dunia Katika Hospital ya Muhimbil Leo Jioni . .




Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka juzi jioni ambapo kutokana na sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili hospitali hawawezi kusema rapper huyu alikua anaumwa nini bali ndugu ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo.

Kwenye maelezo aliyoyatoa kwa millardayo.com Aminiel amesema Marehemu Langa alipokelewa kwenye idara ya wagonjwa wa magonjwa ya dharura usiku wa kuamkia jana na kupatiwa huduma ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na baadae kufariki dunia.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Sporah Njau achaguliwa kuwa mwakilishi wa Afrika Mashariki wa ZAFAA Global Awards
»
Previous
Hizi Ndizo Cover Mpya za Jarida la XXL la Marekani! zikiwa na Sura za T.I,LILY WAYNE NA 2 CHAIZ

No comments:

Leave a Reply