Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania. Katika kulizingatia hili mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilizindua akaunti ya Chap Chap ambayo kusudi kubwa ni
kuwafikia wananchi wote kule waliko na kuwafungulia akaunti zao.Kikubwa zaidi ni kwamba mteja ataweza kufungua akaunti papo hapo na kupata kadi yake ya kutolea fedha ndani ya dakika kumi
- Mambo muhimuzaidiambayomtejawa Chap Chapanawezakufaidikanayonipamojana:
- Kuonasalio la akauntiyakopopoteulipo
- Kuwekafedhanakutoafedhakwamawakalawa M- pesa
- KutumafedhakwawasionaakauntimahalipopotenchinikwakutumiahudumayaPesaFasta
- Kununuavochazamudawamaongezikutokakwenyemtandaowowotewasimu
- Kuchukuafedhahadishillingi 1.000,000/= kutoka kwenye ATM
Sehemu ya maofisa na wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo
No comments: