Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » BBA The Chase: Safari ya Hakeem na Fatima yafikia ukingoni, Nando apona tena



Jana (July 7) ilifanyika Eviction show nyingine katika reality show ya Big Brother ‘The Chase’ambayo iliwafungulia mlango wa ‘exit’ Hakeem (Zimbabwe) pamoja na Fatima (Malawi) waliofungasha mizigo yao baada ya kukosa kura za kuwawezesha kuendelea na mchezo.
hakeem n fatima
Nando wa Tanzania alikuwa miongoni mwa washiriki waliokuwa katika dangerzone lakini kwa mara nyingine ali idhihirishia Africa kuwa ‘he is on the chase to win’ baada ya kuokolewa na kura za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda. Washiriki wengine walio pona katika eviction ya jana ni pamoja na Pokello, Angelo, Bimp, na Cleo.
Show ya jana ilikuwa na performance ya msanii wa hip hop kutoka Tanzania Wakazi.
Hivi ndivyo kura zilivyopigwa katika Eviction ya (July 7):
Angola: Angelo
Botswana: Angelo
Ghana: Pokello
Kenya: Nando
Ethiopia: Bimp
Malawi: Fatima
Namibia: Bimp
Nigeria: Pokello
South Africa: Angelo
Sierra Leone: Pokello
Tanzania: Nando
Uganda: Nando
Zambia: Cleo
Zimbabwe: Pokello
Rest of Africa: Angelo
Jumla: Pokello = 4; Angelo = 4; Nando =3, Bimp = 2, Cleo = 1, Fatima = 1, Hakeem = 0. (Jumla : Kura 15)

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Mcheki wema Sepetu kwenye Coming Soon ya Reality Shoo yake
»
Previous
Ndege ya abiria kutoka Korea Kusini ‘Asiana Airlines’ iliyopata ajali San Fransisco ilikuwa ikiongozwa na rubani aliyekuwa katika “mafunzo” ya kurusha boeing 777

No comments:

Leave a Reply