Ni ngoma mpya na kali toka kwa Rapper Rick Ross ambapo ameamua kuachia single mpya ‘I Wonder Why’. Beat ya wimbo huu ambayo lazima itakufanya utikise kichwa imetengenezwa na Beat Billionaire na amezungumzia pia kesi ya Trayvon Martin.
New Music: Rick Ross – ‘I Wonder Why’ (*Very Hot*)

No comments: