Habari kwa Ufupi :

» » » » Official Video from Izzo Bizness feat Barnaba & Shaa - Love Me



Pata Muda wako wa Kuweza kuitazama hapa chini ni video mpya amabayo ilikuwa ikisubiliwa na Mashabiki Wengi wa Tasnia ya Bongo Flovour. Sasa kichupa kimetoka na kiko tayari kwa wewe mtazamaji kuweza kutupia macho yako


Video imefanyika chini ya E MEDIA Video chini ya  Direcctor Nick Dizzo na Sama John

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hizi ndizo Picha Zilizochaguliwa na Editor, katika Category ya" Editor Pic Choice Of The Week" Ni MILITARY SWAGG Kutoka Nchini Kenya .... Zicheki Picha zao Hapa na Biography yao....
»
Previous
Magazetini Leo Jumamosi ya Tarehe 13/7/2013

No comments:

Leave a Reply