Video: Trey Songz - Change your Mind

Unknown Tuesday, June 24, 2014 0

Just in time for summer, Trey Songz celebrates the pretty girls all around the world in the feel-good video for “Change Your Mind.” The ladi...

Video: Baada ya staili ya Skelewu na Ngololo, hii ndio staili mpya inayo-make headlines hivi sasa.

Unknown 0

Kwa staili hii hapa hakuna cha Davido tena na skelewu yake, sababu huko West Africa Skelewu ishakuwa ni ya enzi za mwalimu, huko watu wana-S...

Video: Tazama kipande cha video mmpya ya Ben Pol Unanichora

Unknown Monday, June 23, 2014 0

Video: Angalia alichofanya AY na Faraja Nyalandu..kwenye hii video

Unknown Sunday, June 22, 2014 0

Huwezi amini kama msani wa muziki wa Bongo Fleva hapa nchini AY kama anaweza kufanya haya yote, hapa utamuona akiwa na aliyekuwa miss Tanzan...

Video: Gelly wa Rhymes – Elewa

Unknown Saturday, June 21, 2014 0

Tazama video mpya kutoka kwa Gelly wa Rhymes amechia Video Mpya inaitwa “Elewa” Video imeongozwa na Director Adam Juma

Video: Meninah La Diva – Ka Copy Ka Paste

Unknown 0

Tazama video ya Mwanadada Mrembo Meninah La Diva amechia Video yake Mpya ya ngoma “Ka Copy Ka Paste” Video imefanyika Nchini Kenya na Direct...

Video: Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)

Unknown Friday, June 20, 2014 0

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye video ya Vanessa Mdee hii hapa, ni moja kati ya video kali inayotarajia ku-make headines kwenye...

Video: Beyonce, Kelly na Michelle waimba wimbo wenye mahadhi ya Nigeria 'Jesus Say Yes'

Unknown Thursday, June 19, 2014 0

Afrika inaendelea kuwa mfano mzuri wa kuigwa na wasanii wakubwa duniani, hii ina maanisha wasanii wa Afrika waendelee kufanya nyimbo za kiaf...

Video: Kim Kardashian ajifua kuingia kwenye muziki, Kanye West aahidi kumsaidia

Unknown Wednesday, June 18, 2014 0

Mwanamitindo Kim Kardashian ambaye ni mke wa Kanye West ameamua kuingia rasmi kwenye kiwanda cha muziki na tayari ameanza kujifua sauti na u...

Video: Tazama tangazo la Beats by Dre lililofanywa na Neymar, Cesc Fabregas na Luis Suarez

Unknown Tuesday, June 17, 2014 0

Tazama ahapa tangazo jipya linaitwa  'The Game Before The Game' ni tangazo la headphones za Beats by Dre lililofanywa na mastaa wa s...

Video: Mwanamuziki apasuliwa kooni huku akiimba

Unknown 0

Tukio la upasuaji la aina yake limeripotiwa nchini Ufaransa ambapo mwimbaji Alama Kante ambaye ni raia wa Guinea anayeishi nchini humo amefa...

Video: PSY - HANGOVER feat. Snoop Dogg M/V

Unknown Saturday, June 14, 2014 0

Video: Baada ya kuvunja record YouTube, PSY aachia video mpya akiwa na Snoop Dogg 'Hang Over'

Video : Diamond akiwa na mama yake mzazi wakicheza Kitorondo

Unknown Thursday, June 12, 2014 0

Kuna wengi watakuwa wameshaisikia hit mpya ya Diamond Platnumz ambayo ilivuja, hit hiyo inaitwa KITORONDO , Ngoma hii aijatoka bado ipo jiko...

Video: Lulu akionyesha gheto lake

Unknown 0

Muigizaji Elizabeth Michael “lulu” leo ameamua kufunguka na kuwaonyeha wabongo jinsi ghetto lake lenye rangi nyekundu lilivyokamilika vilivy...

Video: Wema Sepetu akicheza na kuimba Ndagushima ya Ommy Dimpoz

Unknown 0

Kwasasa nyimbo mpya ya ommy dimpoz , Ndakushima ndio habari ya mjini na imekamata maskio ya watu wengi. Hebu Mcheki hapa bibie Wema Sepetu a...

Video: Hemedy PHD – On My Wedding Day

Unknown Wednesday, June 11, 2014 0

Tazama video Mpya kutoka kwa Hemedy PHD ngoma inaitwa “On My Wedding Day” imefanyika Sei Records Video imeongozwa na Director Msafiri kutoka...

Video: Hivi ndivyo Performance ya Diamond na Davido ilivyokuwa katika MTV Mama Awards 2014

Unknown Tuesday, June 10, 2014 0

Kama aukubahatika kutazama performance aliyofanya Diamond Paltnumz na Davido pale Durban South Afrika katika utoaji tuzo wa MTV MAMA Award...

Video: Timaya - Bow Down

Unknown 0

Tazama hapa video mpya kutka kwa Timaya msanii kutoka Nigeria anyefanya vizuri katika naga za muziki wimbo unaitwa Bow Down

Video: Mtazame Maalim Hassan Hussein Yahya akizungumzia juu ya vifo vya wasanii, kuendelea mpaka april 2015

Unknown Sunday, June 8, 2014 0

Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Onlin...

Video: Tyga ft Young Thug - 'Hookah'

Unknown Saturday, June 7, 2014 0

Tazama video mpya kutoka kwa mwanamuziki wa kundi la Young Money aitwaye Drake aliomshirikisha Young Thug ngoma inaitwa Hookah itazame na ku...