Video: Lulu akionyesha gheto lake Unknown Thursday, June 12, 2014 0 No comments Muigizaji Elizabeth Michael “lulu” leo ameamua kufunguka na kuwaonyeha wabongo jinsi ghetto lake lenye rangi nyekundu lilivyokamilika vilivyo. Lulu ameonyesha hadi choo chake kilivyo kikali…duh! ebu cheki mwenyewe…..Tazama video hii hapa chini Share !
No comments: