Chanzo kililiambia gazeti la The Sun kuwa Kanye ameahidi kumpa sapoti ya kutosha atakapoingia studio kurekodi vitu vyake.

“Kim amesema yuko makini kuchukuliwa serious kama msanii anaefanya sauti. Kanye West atakuwa mshauri katika mradi.” Kimesema Chanzo hicho.
“Tayari ameanza kufanya kufundishwa sauti na uandishi wa nyimbo na amepanga kukutana na makampuni yanayohusika na kurekodi.”
Mwaka 2011 Kim K aliachia wimbo aliupa jina la Jam (Turn It Up).
No comments: