Mwana Hip Hop na Mwamba wa Kaskazini, Mweusi Joh Makini ametangaza ujio wake mpya na akitumia mtindo ule ule wanaouita Viburi Flow. Joh ataachia wimbo mpya Jumanne ijayo (June 24) unaoitwa I See Me na umetayarishwa na Nahreel.
“NAJIONA MIMI (i see me) 24.6.2014..GOD ENGINEERING #VIBURI FLOW.” Ameandika Instagram
“NAJIONA MIMI (i see me) 24.6.2014..GOD ENGINEERING #VIBURI FLOW.” Ameandika Instagram
No comments: