Video: Kim Kardashian ajifua kuingia kwenye muziki, Kanye West aahidi kumsaidia

Unknown Wednesday, June 18, 2014 0

Mwanamitindo Kim Kardashian ambaye ni mke wa Kanye West ameamua kuingia rasmi kwenye kiwanda cha muziki na tayari ameanza kujifua sauti na u...

Baada ya Kufunga Ndoa tu, Kim Kardashian abadili jina na kuandika hivi

Unknown Thursday, May 29, 2014 0

Siku chache baada ya kufunga ndoa na baba wa mwanae Kanye West, Kim abadili jina lake katika akaunti zake za Twitter na Instagram na sasa ni...

Picha: Pre-wedding dinner ya Kimye iliyofanyika jana Paris, ndoa kufungwa leo (May 24) Italy

Unknown Saturday, May 24, 2014 0

Jana Ijumaa (May 23) Kanye West na Kim Kardashian waliianza ratiba yao kuelekea siku ya harusi ya mwaka inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa kuf...

Picha: Beyonce anahisi Jay Z na mrembo huyu wanaweza ‘kuchepuka’ kwenye harusi ya Kanye na Kim!

Unknown 0

Kanye West ana furaha kubwa kuwa rafiki yake Jay-Z kesho Jumamosi atahudhuria harusi yake na Kim Kardashian. Hata hivyo, bado Beyonce haijul...

Kim Kardashian adaiwa kulala na kivazi cha kutengeneza umbo

Unknown Tuesday, April 15, 2014 0

Mwanamitindo Kim Kardashian anaendelea kujipanga zaidi kwa ajili ya siku ya ndoa yake na rapper Kanye West ambayo inatarajiwa kuwa moja kati...

Picha: Kim kardashian avaa kivazi kilichomtega kila mtu

Unknown Wednesday, March 26, 2014 0

Baada ya kutokea kwenye kava la jarida la Vogue, Kanye West na Kim Kardashian waliamua kumshukuru mhariri mkuu wa jarida hilo, Anna Wintour ...

Kanye West na Kim Kardashian walipamba jarida la Vogue, Ndio Mastaa wenye Couple inayoongelewa zaidi Duniani

Unknown Friday, March 21, 2014 0

Toleo jipya la jarada la jarida la Vogue limetoka jana (March 21) na limepambwa na picha ya wana ndoa watarajiwa, Kanye West na Kim Kardashi...

Harusi ya Mastaa Kanye West na Kim Kardashian kurushwa kama kipindi maalum chenye part 1 & 2 kupitia E!

Unknown Wednesday, March 19, 2014 0

Harusi ya rapper Kanye West na Kim Kardashian ndio gumzo kubwa kwa sasa mitandaoni, wakati wengi wakiwa wanaisubiri kwa hamu kituo cha runin...

Kim Kardashian apata ajali ya gari akiwa anaendesha

Unknown Wednesday, March 12, 2014 0

Mwanamitindo ambaye ni mchumba wa Kanye West, Kim Kardashian jana (March 11) alipata ajali ya gari ambayo haikuwa na madhara makubwa wakati ...

Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West Kufungwa May 24 Mwaka Huu

Unknown Thursday, March 6, 2014 0

Baba na Mama Northwest Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa jijini Paris, Ufaransa May 24. “Haitakuwa harusi kubwa,” chanzo...

Mama wa Kim Kardashian awataka Kanye west na Kim Waondoke Kwake

Unknown Wednesday, February 12, 2014 0

Mama yake na Kim Kardashian, Kris Jenner anadaiwa kumtaka binti yake huyo pamoja na mchumba wake Kanye West waondoke nyumbani kwake. Kim aki...

Kim Kardashian Childhood Album

Unknown Sunday, January 19, 2014 0

Pata kutazama picha za superstar Kim kardashian wakati akiwa bado yupo mdogo ,je unahsisi sura yake inafanana na mtoto wake North West . chu...