» » » » Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West Kufungwa May 24 Mwaka Huu

Baba na Mama Northwest Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa jijini Paris, Ufaransa May 24.


“Haitakuwa harusi kubwa,” chanzo kimoja kililiambia jarida la PEOPLE. Kilisema kuwa watu 150 watahudhuria. Mtoto wao North West, atakayefikisha mwaka 1 mwezi June, anadaiwa kufanya kitu kwenye harusi yao.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply