» » » Mdogo wa Kim Kardashian 'Khloe Kardashian' aununua Mjengo wa Justin Bieber's Kwa Dolla 7.2 Million

Majirani wa Justin Bieber anagalau watapumua sasa, baada ya Justin Bieber kuamua kuuza mjengo wake aliokuwa anaumiliki kwa Mdogo wake kim Kardashian anayeitwa "Khole"

Justin Bieber amepata mnunuzi mzuri wa mjengo wake huo kwani bei aliyomuuzia ni zaidi ya bei aliununulia mjengo huo mwaka 2012.Mwaka 2012 Hustin Bieber aliununua mjengo huo kwa Dolla za Kimarekani Millioni 6 na yeye kuuza kwa Khole Kardashian kwa Dolla za kimarekani millioni 7.2





Khole Kardashian amemudu kununu mjengo huo wa justin Bieber baada ya kuuza nyumba yake ya Tarzana Estate kwa mdau mkubwa ambapo alilipwa Dolla Milioni 5.49

Kununnuliwa kwa Mjengo wa Justin Bieber na Khole kardashian kumeleta maana kwani miezi michache nyuma dada wa Khole kardashian Koutney alinunua mjengo uliokuwakaribu na makazi ya justin Bieber mbayo yalkwa yakimilikiwa na Keyshawn Johnson 


Chanzo cha mtandao wa Tmz 'kimesema Khole kardashian atafanya Marekebisho katika Nyumba hiyo maana Mapambo ya mtoto wa iaka 19 ambayeni justin Bieber ayatamfaa'


Tazama Picha za Mjengo wa Justin Bieber aliomuuzia Khole Kardashian  uko Atlanta..!






















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply