Selena Gomez na Justin Bieber wahudhuria masomo ya biblia pamoja

Unknown Friday, June 20, 2014 0

Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez Jumatano hii walihudhuria masomo ya biblia pamoja. Wawili hao waliorudiana hivi karibuni walioneka...

Chris Brown na Justin Bieber waingia studio, kurekodi wimbo kwa ajili ya Mashabiki

Unknown Tuesday, June 17, 2014 0

Justin Bieber na Chris Brown wameingia studio kupika muziki mzuri kwa ajili ya mashabiki wao Jumatatu, June 16. Bieber amepost picha kwenye ...

Baada ya kuingia studio na Chris Brown, Wizkid amshika Justin Bieber

Unknown Saturday, June 14, 2014 0

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kudhihirisha ukubwa wake katika muziki. Jana msanii huyo alionekana akiwa studio na Chris Br...

Picha: Hivi ndivyo Justin Bieber alivyozomewa na uwanja mzima akiwa na mama yake kwenye mechi ya kikapu

Unknown Monday, May 12, 2014 0

Mwimbaji Justin Bieber aliamua kwenda na mama yake Patti Mallette, 38, kwenye mechi ya Los Angeles Clippers jana kusherehekea Mother’s Day, ...

Ikulu ya Marekani yatoa tamko kuhusu ombi la wananchi kwa Rais Obama 'amfukuze Justin Bieber Marekani'

Unknown Sunday, April 20, 2014 0

Hatimaye ikulu ya Marekani imejibu ombi lililotolewa na raia wa Marekani kwa Rais Barack Obama kumfukuza Justin Bieber nchini humo, ombi lil...

Birdmen amzawadia Justin Bieber Bugatti

Unknown Monday, April 7, 2014 0

Muanzilishi na mmiliki wa studio ya Cash Money, mjasiriamali na rapa Brayan Williams(45) ‘BirdMan’ amemzawadia mwanamuziki wa R&B, Justi...

Most Overexposed Celebrities in 2014 ni Justin Bieber na Kim Kardashian 'waongoza orodha ya Forbes '

Unknown Thursday, March 13, 2014 0

Forbes imetoa orodha ya mwaka ya ‘Most Overexposed Celebrities’, na kwa mwaka huu Justin Bieber ndiye ameshikilia nafasi ya kwanza huku mke...

Mdogo wa Kim Kardashian 'Khloe Kardashian' aununua Mjengo wa Justin Bieber's Kwa Dolla 7.2 Million

Unknown Thursday, March 6, 2014 0

Majirani wa Justin Bieber anagalau watapumua sasa, baada ya Justin Bieber kuamua kuuza mjengo wake aliokuwa anaumiliki kwa Mdogo wake kim Ka...

Justin Bieber, Apata wakati mgumu baada ya Majirani wa anapotaka kuhamia huko atlanta kupanga kuandamana

Unknown Monday, February 24, 2014 0

Ule ukorofi wa Justin Bieber sasa unapelekea awe tishio la watu wengi hususani wazazi ambao wanaogopa kuwa kwake karibu na watoto wao anawez...

Mke wa Obama, Atoa ushauri kwa wazazi wa Justin Bieber

Unknown Tuesday, February 11, 2014 0

Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama ametoa ushauri kwa wazazi wa msanii huyo, akijitolea mfano kama yeye ndio angekuwa mzazi wa Bieber (1...

VIdeo: Justin Bieber ft. Chance The Rapper - Confident

Unknown Friday, January 31, 2014 0

Tazama video mpya kutoka kwa Justin Bieber aliomshirikisha Chance the Rapper wimbo unaitwa Confident   itazame video ya Confident hapa chini...

Justin Bieber afunguliwa mashtaka ya Kumpiga Dereva

Unknown Wednesday, January 29, 2014 0

Mwanamziki mashuhuri wa muziki wa 'pop' kutoka Canada Justin Bieber amefunguliwa mashtaka ya kumpiga dereva wa gari la kifahari la k...

New Music: Justin Bieber Feat. Lil Wayne – Back Pack

Unknown Saturday, December 28, 2013 0

Sikiliza hapa wimbo mpya kutoka kwa msanii wa miondoko ya Pop na R&B Justin Bieber akimshirikisha rapper kutoka YMCMB Lil Wayne ngoma in...