Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez Jumatano hii walihudhuria masomo ya biblia pamoja.
Wawili hao waliorudiana hivi karibuni walionekana kwenye kanisa la huko jijini Los Angeles chini Pastor Judah Smith. Vyanzo vimedai kuwa masomo hayo ya biblia yanaonekana kumbadilisha Bieber na ameonekana kuwa na amani na mwenye furaha.

No comments: