Home
»
celebrity Photos
»
Justin Bieber
» Picha: Hivi ndivyo Justin Bieber alivyozomewa na uwanja mzima akiwa na mama yake kwenye mechi ya kikapu
Mwimbaji Justin Bieber aliamua kwenda na mama yake Patti Mallette, 38, kwenye mechi ya Los Angeles Clippers jana kusherehekea Mother’s Day, lakini hakutegemea kusaliwa kwa kuzomewa na uwanja mzima!
Justin na mama yake
Chanzo kimoja kimeiambia E! News kuwa uwepo wake haukuwafurahisha wengi na watu walisikika wakimzomea baada ya camera za Staples Center kumuonesha. Hata hivyo, Bieber hakujali kelele hizo na aliendelea kuhave fun na mama yake.Tazama picha zaidi za Justin Biber na Mama yake walivyokuwa Uwanjani hapo
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity Photos Justin Bieber
Related Posts
Selena Gomez na Justin Bieber wahudhuria masomo ya biblia pamoja
Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez Jumatano hii walihudhuria masomo ya biblia pamoja.Wawili h...Read more »
20Jun2014Chris Brown na Justin Bieber waingia studio, kurekodi wimbo kwa ajili ya Mashabiki
Justin Bieber na Chris Brown wameingia studio kupika muziki mzuri kwa ajili ya mashabiki wao Jumatat...Read more »
17Jun2014Baada ya kuingia studio na Chris Brown, Wizkid amshika Justin Bieber
Msanii wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kudhihirisha ukubwa wake katika muziki. Jana msanii h...Read more »
14Jun2014Ikulu ya Marekani yatoa tamko kuhusu ombi la wananchi kwa Rais Obama 'amfukuze Justin Bieber Marekani'
Hatimaye ikulu ya Marekani imejibu ombi lililotolewa na raia wa Marekani kwa Rais Barack Obama kumfu...Read more »
20Apr2014Birdmen amzawadia Justin Bieber Bugatti
Muanzilishi na mmiliki wa studio ya Cash Money, mjasiriamali na rapa Brayan Williams(45) ‘BirdMan’ a...Read more »
07Apr2014Picha: Tiffah ni Photocopy ya Baba yake Diamond Platnumz
Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photo...Read more »
25Sep2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: