» » » Victoria Kimani aingia Dar es Salaam na kupokelewa na Lil Ommy wa Times Fm


Mwanamuziki na mrembo wa Kenya, Victoria Kimani, Jana (March 5) aliingia Dar es Salaam akitokea Nairobi Kenya.



Victoria alipokewa na Omary Tambwe aka Lil Ommy , mtangazaji wa The Playlist ya 100.5 Times na mrembo huyo atahudhuria uzinduzi wa kipindi cha The Playlist, Ijumaa March 3, Club Infinity Mikocheni, nyuma ya Shoppers Plaza.

Mbali na muonekano maalum wa Victoria Kimani, kutakuwa na show kali kutoka kwa wasanii wa Tanzania, Linex, Navy Kenzo, Climax, Tunda Man, Dogo Janja, Wakazi na wengine wengi.

Kiingilio ni 10,000/- tu.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply