Shindano la kucheza Prokoto , Mshindi kuondoka na $500

Unknown Saturday, May 24, 2014 0

Chocolate City’s Victoria Kimani has introduced ‘Prokoto Dance Competition’ where the winner will be rewarded with $500 cash prize and a cha...

Music: Victoria Kimani ft Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz - Prokoto

Unknown Wednesday, May 14, 2014 0

Chocolate City Kenya’s fast rising pop star Victoria Kimani has officially released her new single ‘Prokoto’ featuring Tanzanian Superstars ...

Kionjo: Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz -Prokoto

Unknown Saturday, May 10, 2014 0

Sikiliza kionjo cha wimbo wa Victoria Kimani aliowashirikishwa wakali wa bongo fleva, Ommy Dimpoz na Diamond. Wimbo unaitwa ‘Prokoto’.

Video: D'Banj, Diamond, AY, Victoria Kimani, Femi Kuti, Fally Pupa - Cocoa na Chocolate (Official Music Video)

Unknown Friday, April 4, 2014 0

Tazama video mpya ya wimbo mpya wasanii wakubwa wa Afrika ambao unahamasisha kilimo cha kakao na Chocolate katika bara la Afrika kupitia k...

Video: Victoria Kimani azungumzia imani yake na uwepo wa Freemason kwenye muziki wa Kenya

Unknown Wednesday, March 26, 2014 0

Story za Freemason zinaweza kuwa zimewachosha baadhi ya watu hivi sasa au wengine wanaweza kuzichukulia kama story zilizowahi kuwa maarufu, ...

Victoria Kimani : Mimi ndiye msanii wa kwanza wakike kufanya single moja na wanamuziki wakubwa zaidi wa Bongo Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz

Unknown Wednesday, March 19, 2014 0

Mwimbaji wa kutoka Kenya Victoria Kimani ambaye amekuwa Tanzania kwa siku kadhaa sasa akiutangaza muziki wake pamoja na kufanya collabo na w...

Victoria Kimani kufanya wimbo na Ommy Dimpoz, adai anaipenda zaidi 'Me and You' kwa Tanzania

Unknown Wednesday, March 12, 2014 0

wana Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ni mmoja kati ya wasanii wa Tanzania ambao wameyagusa masikio ya mwimbaji wa Chocolate City, Victoria Kima...

Victoria Kimani aeleza atakavyomtambua mwanaume anayempenda kwa dhati, adai itamchukua wiki mbili tu

Unknown Monday, March 10, 2014 0

Mwanamuzi wa Kenya, Victoria Kimani ameiambia tovuti ya Times Fm kupitia segment ya ‘Times Q&A’ kuwa itamchukua wiki mbili tu kumfahamu ...

Picha: Victoria Kimani adatisha na ‘tattoo za henna’ za mapajani na mgongoni, utata mtupu…

Unknown Friday, March 7, 2014 0

Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Sala...

Victoria Kimani aingia Dar es Salaam na kupokelewa na Lil Ommy wa Times Fm

Unknown Thursday, March 6, 2014 0

Mwanamuziki na mrembo wa Kenya, Victoria Kimani, Jana (March 5) aliingia Dar es Salaam akitokea Nairobi Kenya. Victoria alipokewa na Omary ...

Victoria Kimani : Asema anekutana na Diamond Platnumz mara moja tu, na wala sina namba yake ya simu

Unknown Wednesday, March 5, 2014 0

Hivi karibuni mwimbaji wa ‘Number One’ Diamond Platnumz alikanusha tetesi za huenda kuna kitu kilizaliwa baina yake na mwimbaji Mkenya Victo...

Video: Victoria Kimani ft Ay & Prezzo - Whoa

Unknown Tuesday, February 18, 2014 0

Msanii wa Kenya mwenye makazi yake Nigeria Victoria Kimani uitwao 'WHOA' ambao amewashirikisha msanii wa Tanzania Ambwene Yessaya pa...

Victoria Kimani wa Kenya akanusha kuwa na mahusiano na Prezzo, japo walionekana waki kiss hadharani

Unknown Tuesday, June 25, 2013 0

Mapema mwezi huu (June) kuna habari zilienea kuwa mwanamuziki mrembo wa Kenya Victoria Kimani na rapper CMB prezzo walionekana waki kiss had...