Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » Picha: Victoria Kimani adatisha na ‘tattoo za henna’ za mapajani na mgongoni, utata mtupu…

Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..

Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty

 Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo







Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Tragedy: Ndege ya Malaysia Airlines yahofiwa kuanguka, ilikuwa na watu 239
»
Previous
Picha: Ommy Dimpoz ashoot video yake Mpya Nchini Uingereza na Director aliyefanya video ya ‘Caro’ ya Wizkid,na ‘Skelewu’ ya Davido

No comments:

Leave a Reply