Katika movie ya 12 Years A Slave, Edwin Epps (Michael Fassbender) alijikuta akivutiwa na mtumwa wake, Patsey (Lupita Nyong’o) na sasa inaonekana kuwa wawili hao wamependana kwenye maisha ya kweli.
Kuna vyanzo vinavyodai kuwa Lupita Nyong’o na Michael Fassbender ni wapenzi na kwamba wako tayari kutulia na kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi. Inasemekana kuwa wote wamekuwa na uhusiano kwa miezi sasa.
Chanzo kimeliambia gazeti la The Sun: Wana connection ya aina yake baada ya kufanya filamu ya 12 Years A Slave na kisha kuipromote pamoja. Lupita ni mwanamke anayetakwa sana kwa sasa duniani hivyo itakuwa ngumu kuufanya uhusiano udumu lakini chemistry yao haipingiki.”
Hata hivyo kwa mujibu wa mtandao wa GossipCop, habari hiyo si ya kweli.
Lupita Nyong’o and Michael Fassbender are NOT dating, despite an inaccurate report from The Sun.

“On Wednesday, the British tabloid claimed the 12 Years A Slave co-stars “secretly dated last year and now we hear things are hotting up again. A source close to the pair tells Gossip Cop exclusively that the story is “100 percent false,” umeandika mtandao huo.
Sourcee: Tmz
No comments: