Hii imetokea kupitia mtandao wa instgram amabao hutumiwa na mastaa na matajiri wengi zaidi Duniani.. Baada ya kupitia mtandao Huo Asubuhi hii nilikutrana na khali ya majibishano kati ya Penny wa Diamond na Fans wake Diamond kwani Diamond ndiye aliyepost picha na kuandika Ujumbe Huu
" Yes! i can see you, my Number one fan...i do Appreciate you and love you to bits...♥♡♥♡ "
Baada ya Diamond kuandika ujumbe huu na kuweka picha hii hapa chini fans walianza kucomment wanavyojua wao ndipo majibishano hayo yalipotokea.....
No comments: