Chanzo kimoja kimeliambia jarida la Grazia kuwa Kim Kardashian ameanza kulala na kivazi maalum ‘corset’ ambacho kinasaidia kutengeneza umbo lake ili awe na muonekano mzuri zaidi katika siku hiyo ya ndoa.
“Kim wants her figure to look absolutely perfect on her wedding day. Wearing a corset at night is extremely uncomfortable but has a proven record of results, and with six weeks to go, Kim is up for anything.” Kimesema Chanzo hicho.
Imeelezwa kuwa Kim amejipanga kutengeneza muonekane wake ikiwa ni pamoja ngozi wakati wanafamilia hao watakapokuwa mapumzikoni nchini Thailand.
No comments: