Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye video ya Vanessa Mdee hii hapa, ni moja kati ya video kali inayotarajia ku-make headines kwenye media mbalimbali za hapa Tzee, “come over” ikiwa ndio moja ya nyimbo za kipekee inayosemekana kuwa hata wazungu hutumia nyimbo hii njia mojawapo ya kujifunza Kiswahili, inakubalika kila kona ya dunia, ila kwa video hii lazima ifike mbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: