Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » Lady Jay Dee akana Kumuomba Msamaha RUGE.

Msanii Jay Dee akana uongo wa magazeti ya udaku yanayoandika habari za uongo kuwa ameenda kumpigia magoti RUGE na kumuomba msamaha kutoka na BEEF yao iliyotokea hapo nyuma. 



Msanii huyo amesema kuwa yeye anaweza kumpigia magoti Mama yake mzazi na MUNGU peke yake, na kama magazeti yanaamua kuandika habari za uongo ili kuuza magazeti huo ni wizi wa kuibia wananchi pesa zao wazi wazi. Lady Jay Dee ameapa kuwa swala hilo halitokuja kutokea na watu wanaofikiria hivyo wasahau.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Vanessa Mdee - Come Over (Official Video)
»
Previous
Picha: Tazama Magari aliyonayo Peter wa Psquare, Baba na mama mkwe wake

No comments:

Leave a Reply