Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » Video: Baada ya staili ya Skelewu na Ngololo, hii ndio staili mpya inayo-make headlines hivi sasa.

Kwa staili hii hapa hakuna cha Davido tena na skelewu yake, sababu huko West Africa Skelewu ishakuwa ni ya enzi za mwalimu, huko watu wana-Sekem tu. Hii ni staili nyingine mpya kabisa ya kucheza, inayoonekana kunoga sana hasa kwa wenzetu huko nchi za West Africa, na muda si mrefu itaingia bongo na kufanya wa tzee waanze kusahau ngololo ya Diamond Platnumz, Ni nyimbo yaMcGalaxy-”Sekem”, nyimbo yenye vionjo vipya kabisa vilivyongezewa na staili yake ya kipekee ya uchezaji, inayozidi kuteka maelfu ya wadau wa muziki. Icheki hii hapa kama upo fit, anza kui-copy.


Tazama video hii hapa


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hivi ndivyo alivyosema K-lynn baada ya mengi kutokea ukurasa wa mbele wa Forbes
»
Previous
Rick Ross akiweka pabaya kituo cha Hot 107.5, akana kuwekewa kizuizi na kundi la maadui

No comments:

Leave a Reply