Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » Hivi ndivyo alivyosema K-lynn baada ya mengi kutokea ukurasa wa mbele wa Forbes

 Mama wa watoto wawili wa Mh.Reginald Mengi, K-lynn ameeleza hisia zake baada ya mengi kutoa katika ukuasa wa mbele wa jarida la i FORBES AFRICA..lenye title ya “BAREFOOT TO $550 Million” yaani ikimaanisha Mengi kutoka kutembea peku hadi kua tajiri namba 35 Africa akiwa na utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.

Jackline aliandika..

K-lynn alisema haya kupitia ukurasa wake wa instagram “Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”

K-lynn alisema haya kupitia ukurasa wake wa instagram “Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Haya ndio majibu ya Kitale 'Mkude Simba' kuhusu mahusiano yake na Vj Penny
»
Previous
Video: Baada ya staili ya Skelewu na Ngololo, hii ndio staili mpya inayo-make headlines hivi sasa.

No comments:

Leave a Reply