Habari kwa Ufupi :

» » » » Video : Diamond akiwa na mama yake mzazi wakicheza Kitorondo

Kuna wengi watakuwa wameshaisikia hit mpya ya Diamond Platnumz ambayo ilivuja, hit hiyo inaitwa KITORONDO , Ngoma hii aijatoka bado ipo jikoni bado au labda Diamond mwenyewe ajaamua kuiachia rasmi ngoma hii amabayo kwa uchunguzi wangu tu nimegundua kuwa watu wengi wanaipenda nyimbo hii inagawa bado aijatoka rasmi.




kupitia video hii hapa chini utaweza kumuona Diamond Platnumz akiwa na Rome J pamoja na Dancers wake Nyumbani wakicheza KITORONDO Uku mama mzazi wa Diamond akitoa support ya kucheza wimbo huo kwa mbali.
Kujionea zaidi tazama video hapa chini sekunde chache tu na wala aitokuchosha

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Ukiachana na Diamond Platnumz, Huyu ndiye mwanaume mwingine anayemchanganya Wema Sepetu
»
Previous
Diamond na Wema wawekwa kwenye headlines za mitandao huko nchini nigeria.

No comments:

Leave a Reply