Jana usiku, mrembo/model from Kenya HUDDAH, alikuwa aki-host bonge la party lililofanyika paleELEMENTS LOUNGE . Huddah ambae alishiriki katika shindano la Big Brother Africa: The Chase 2013 ambalo bado linaendelea huko South Africa … It’s MID YEAR BASH !! Party hiyo ilihudhuriwa na watu mbali mbali jijini Dar, check baadhi ya picha katika party hiyo hapa chini ;

Arthur akiwa na Huddah.

AY

Jamil & Gillsant



Arthur & Nchakalih


Huddah & Vanessa Mdee




Adam Mchomvu & Dullah








Arthur akiwa na Huddah.
AY
Jamil & Gillsant
Arthur & Nchakalih
Huddah & Vanessa Mdee
Adam Mchomvu & Dullah
No comments: