Ulibaatika kuziona Picha za Usiku wa Kumuenzi Albert Mangwea
Hivi ndivyo walivyomuenzi Albert Mangwair baada ya kutimiza mwezi mmoja tangu alipopoteza maisha huko South Africa. Wasaani wengi walijitokeza kwenye usiku huo wa Albert Mangwair kama wanavyoonekana hapo juu.
No comments: